Unknown Unknown Author
Title: Mataifa yenye watu warefu zaidi duniani yaorodheshwa
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kimo cha wastani kwa wanaume Uholanzi ni futi 6 kwa sasa (sentimita 183), na kimo cha wastani kwa wanawake wa Latvia ni futi 5 inchi 7 (s...
Kimo cha wastani kwa wanaume Uholanzi ni futi 6 kwa sasa (sentimita 183), na kimo cha wastani kwa wanawake wa Latvia ni futi 5 inchi 7 (sentimita 170).
Utafiti huo, ambao matokeo yake yamechapishwa kwenye jarida la eLife, umefuatilia kimo cha watu na mabadiliko yaliyotokea katika mataifa 187 tangu 1914.
Utafiti huo umebaini kwamba wanaume wa Iran na wanawake wa Korea Kusini ndio walioongeza kimo zaidi, wakiongeza kimo cha wastani kwa zaidi ya inchi 6 (sentimeta 16) na inchi 8 (sentimeta 20) mtawalia.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top