Unknown Unknown Author
Title: MJUE MCHEZAJI ALIYE SAJILIWA NA MBEYA CITY FC
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
“Muhammad ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa na alikuwa na mchango mkubwa kwenye klabu ya APR ya Rwanda kwa misimu mitatu iliyopita na ndiyo ...
“Muhammad ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa na alikuwa na mchango mkubwa kwenye klabu ya APR ya Rwanda kwa misimu mitatu iliyopita na ndiyo maana kocha akampendekeza baada ya kuvutiwa na kiwango chake
.Huyo ni mchezaji wa tano kusajiliwa na Mbeya City chini ya kocha Phiri aliyetua mzunguko wa pili msimu uliopita baada ya kutimuliwa kwenye klabu ya Free State ya Afrika Kusini kufuatia timu hiyo kupata matokeo mabaya.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top