Unknown Unknown Author
Title: Mkenya aliyedandia helikopta asafiri kwa ndege
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Swaleh alidandia ndege iliyokuwa imebeba mwili wa mfanyabiashara Jacob Juma mjini Bungoma mwezi mei mwaka huu. Bwana huyo alidandia lic...
Swaleh alidandia ndege iliyokuwa imebeba mwili wa mfanyabiashara Jacob Juma mjini Bungoma mwezi mei mwaka huu.
Bwana huyo alidandia licha ya maafisa wa usalama kuwazuia watu waliowasili kuona maiti.
Mwanamume huyo ambaye amebandikwa jina la mwigizaji, James Bond, aliwasili jijini Nairobi leo akiwa na furaha baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.


‘’Nimefurahi sana, nilihisi raha tofauti na kudandia ndege ambapo niliumia kutokana na upepo mkali angani,’’ alisema.
Jamaa huyo ambaye ni baba wa watoto wanne, ameongeza kuwa anajutia kitendo chake na kuwa hatowahi kurudia tena kosa hilo.
“Bado nahisi kuwa sijapata nafuu kabisa. Niliumia kwa sababu niliruka takriban mita kumi na moja kutoka hewani baada ya kushikilia ndege kwa muda.
Tofauti na safari yake ya awali juu ya ndege, ambapo alipanda kwa h

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top