toniking toniking Author
Title: ASILI YA JINA IRINGA?
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Jina Iringa lilitokana na neno la Kihehe "Lilinga" ambalo tafsiri yake kwa Kiingereza ni Observation Post. Wahehe walianzisha lil...
Jina Iringa lilitokana na neno la Kihehe "Lilinga" ambalo tafsiri yake kwa Kiingereza ni Observation Post. Wahehe walianzisha lilinga sehemu hii ilipo Iringa ya sasa, ilikuweza kuwaona maadui kwa urahisi na kuweza kutoa taarifa za kulinda Ikulu iliyokuweko Kalenga.

 Wajerumani walijenga Boma juu ya  kilima hicho hicho baada ya ushindi uliopatikana baada ya kupigana na Wahehe kwa mara ya pili. Katika pambano la kwanza Wajerumani chini ya Von Zelewiski waliuwawa wote akabakizwa mmoja akatoe taarifa kuwa Uheheni kuna wanaume. Vita hiyo ilipigwa eneo la Lugalo mpaka Lundamatwe Kaburi la Zelewiski liko pale Lugalo. Kuboma ni jina walilotumia Wahehe kupaita pale ambapo Wajerumani walijenga Boma lao. Kwa habari hii na zingine kibao ungana na mkongwe John Kitime katika libeneke lake jipya..

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top