Unknown Unknown Author
Title: Donald Ngoma mchezaji bora wa Goal wa msimu Ligi Kuu Bara
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma ameibuka kuwa mshindi wa tuzo ya Goal ya msimu Ligi Kuu Bara kufuatia mchango wake mkubwa katika kamp...
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma ameibuka kuwa mshindi wa tuzo ya Goal ya msimu Ligi Kuu Bara kufuatia mchango wake mkubwa katika kampeni za michuano mbalimbali akiwa na wakali wa Jangwani.
Mshambuliaji huyo wa Yanga amewatupa kwa mbali wachezaji wenzake waliokuwa wakiwania tuzo hiyo Ibrahim Ajibu, Thabani Kamusoko, Juma Abdul, Aishi Manula, Shomari Kapombe, Amissi Tambwe, Farid Mussa, Shiza Kichuya na Juma Jeremiah.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top