Unknown Unknown Author
Title: Salamu za Mrisho Mpoto kwa Diamond Platnumz kuhusu wimbo wa Salome
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Moja kati ya wasanii wenye heshma kubwa nchini na watunzi wa mashairi na nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika, Mrisho Mpoto, kupitia mtandao ...
Moja kati ya wasanii wenye heshma kubwa nchini na watunzi wa mashairi na nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika, Mrisho Mpoto, kupitia mtandao wa Instagram amemsifia Diamond Platnumz kwa wimbo wake mpya wa Salome na kusema kuwa amemfurahisha sana kwani amefanya wimbo wenye asili ya kwetu Tanzania na hiyo ni heshima kwa nchi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top