toniking toniking Author
Title: Kipigo cha Kagera Sugar kutoka Yanga kilichoweka historia Kaitaba
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Ligi Kuu soka  Tanzania  bara imeendelea tena leo Jumamosi ya October 22 2016 kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo klabu ya  Dar es Salaam ...
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo Jumamosi ya October 22 2016 kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo klabu ya Dar es Salaam Young Africans imeendeleza harakati zake za kutetea Ubingwa wake wa Ligi Kuu kwa kuvaana na Kagera Sugarkatika uwanja wa Kaitaba Bukoba.
Yanga leo wamecheza na Kagera Sugar katika uwanja wa nyasi bandia wa Kaitaba na kuandika historia ya kumfunga mwenyeji Kagera Sugar kwa goli 6-2, idadi ambayo imefanya ndio kuwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu kufungana kwa idadi kubwa ya magoli kwa msimu wa 2016/2017.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top