toniking toniking Author
Title: VIDEO: Kipigo cha 6-2 kutoka Yanga, kimewafanya Kagera kuwasimamisha wachezaji
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya  Kagera Sugar  ya  Bukoba  leo October 27 2016 imeripotiwa na kituo cha  Azam TV  kutangaza kuwasimamisha wachezaji wake wawili ...
Klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba leo October 27 2016 imeripotiwa na kituo cha Azam TV kutangaza kuwasimamisha wachezaji wake wawili kwa tuhuma za kuhujumu timu hiyo wakati wa mchezo dhidi ya Yanga, uliomalizika kwa Kagera kufungwa goli 6-2.
Kagera Sugar imeripotiwa kuwasimamisha wachezaji wake wawili ambao ni golikipa Hussein Shariff na beki Eric Kiaruzi ambaye alisababisha kufungwa kwa goli la tano na Obrey Chirwa wa Yanga, hiyo ilikuwa baada ya kurudisha mpira nyuma kwa golikipa David Buruhani lakini ukanaswa na mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma.
CHANZO: Azam TV

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top