Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa rais wa Marekani,
Hillary Clinton na Donald Trump wanajitayarisha kwa wikiendi ya mwisho
ya kampeni.
Bwana Trump atazuru majimbo matatu muhimu yakiwemo
Florida, Carolina Kaskazini, na Nevada, wakati Bibi Clinton akifanya
kampeni Florida.
Kura za maoni za karibuni kabisa, zinaonyesha
kuwa mgombea wa Democratic Hillary Clinton bado anaongoza, lakini yuko
mbele kidogo tu ya mpinzani wake, Donald Trump.
Bwana Trump
ametoa wito kwa wafuasi wake wasaidie kuzuia udanganyifu, na ameonya
kuwa kunaweza kutokea ulalamishi kwenye uchaguzi.
Na huko Ohio,
jaji wa serikali kuu, ameionya kampeni ya Bwana Trump, na ametoa amri
kwa mshauri mmoja wa kampeni hiyo, aache kuwatisha wapigaji kur
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment