toniking toniking Author
Title: PICHA 10: Mapokezi ya Akothee Kenya, baada ya ushindi wa tuzo za AFRIMMA na AEAUSA
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Muimbaji wa  Kenya   Akothee   ambaye alimshirikisha  Diamond Platnumz  wa  Tanzania katika hit single yake ya  ‘Sweet Love’ , amewasili ...
Muimbaji wa Kenya Akothee ambaye alimshirikisha Diamond Platnumz wa Tanzaniakatika hit single yake ya ‘Sweet Love’, amewasili Nairobi Kenya baada ya ushindi wa tuzo mbili alizoshinda nchini Marekani.
Akothee amepokelewa kwa furaha kwao Nairobi, mapokezi ambayo yaliongozwa na baba na mama yake, kama utakuwa unakumba Akothee alitangazwa mshindi wa tuzo ya AFRIMMA ya msanii bora wa kike wa Afrika  Mashariki October 15 2016 Dallas Texas Marekani.
Muimbaji huyo alishinda pia tuzo ya msanii bora wa kike 2016 katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA).







About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top