Unknown Unknown Author
Title: Ushahidi wa kitakwimu unaonyesha Pogba ni zaidi ya Kante
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Umekuwa mwaka wa matukio mengi kwa kiungo wa Manchester United – Paul Pogba.  Jambo la kwanza lilimuhusisha na biashara iliyochukua muda ...
Umekuwa mwaka wa matukio mengi kwa kiungo wa Manchester United – Paul Pogba. 
Jambo la kwanza lilimuhusisha na biashara iliyochukua muda mrefu zaidi wakati wa dirisha la usajili la kiangazi kabla ya kukamilisha uhamisho wa  £89million kwenda Old Trafford.
Tangu wakati huo, dunia ya wapenda soka ilitegemea kuona akiendeleza kiwango chake alichokuwa nacho Juventus – akifunga magoli mengi, na kutoa assists nyingi zilizoisaidia Juve kuiteka Serie A.  
Pamoja na mategemeo makubwa, lakini mashabiki na wachambuzi wa soka bado hawajaridhishwa na kiwango cha Pogba katika msimu huu unaoendelea. 
Kiungo huyo mfaransa bado hajaonyesha thamani ya fedha aliyosajiliwa. 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top