August 15 2016 moja ya headline zilizoandikwa kutokea Dar es salaam ni pamoja na hii ya Mkuu wa mkoa Paul Makonda ambapo amekabidhi ramani ya jengo la ofisi ya makao makuu ya Baraza la waislam Tanzania (BAKWATA) lenye ghorofa tatu ikiwa ni ahadi ya kuwajengea jengo hilo ambalo litagharimu kiasi cha pesa za kitanzania zaidi ya bilioni 5.8
About Author

Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment