toniking toniking Author
Title: AUDIO: Kauli ya Mkemi kuhusu kuvuliwa uanachama wa Yanga na Manji
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Siku moja baada ya klabu ya  Dar es Salaam Young Africans  itangaze ajenda za mkutano mkuu wa dharura utakaofanyika Jumapili ya October 2...
Siku moja baada ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans itangaze ajenda za mkutano mkuu wa dharura utakaofanyika Jumapili ya October 23,millardayo.com imempata Salum Mkemi ambaye ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans anayedaiwa kufutwa uanachama wa klabu hiyo
Mkemi
“Mimi bado mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga ndio sheria na katiba inavyosema, Manji yeye kachaguliwa kama nilivyochaguliwa mimi kama Magufuli alivyochaguliwa, Rais hawezi kuvua ubunge mbunge kwa sababu yeye sio aliyemchagua ni wananchi labda kama kamteua ubunge”


>

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top