Mpambano kati ya wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kwenye utawala wa soka duniani umeendelea kuzunguka baina ya vigezo tofauti kwa takribani miaka 10 sasa.
Na baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora duniani pamoja na tuzo ya Ballon D’Or kwa mwaka jana, Cristiano Ronaldo ameendelea kuwa na mwaka bora wa mafanikio dhidi ya mwenzake.
Ronaldo ametajwa kuwa ni mchezaji aliyeingiza fedha nyingi zaidi duniani na jarida la
France Football, huku Messi akiwa katika nafasi ya pili kwa msimu wa 2016-17.
Post a Comment