Unknown Unknown Author
Title: HEKA HEKA: Undani wa msichana wa kazi aliyetaka kumuua mtoto wa boss wake kwa uchawi
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Leo Tena ya Clouds FM April 5, 2017 mtangazaji  Geah Habibu  ametufikishia  Hekaheka  ya msichana wa kazi anayedaiwa kujihusisha na viten...
Leo Tena ya Clouds FM April 5, 2017 mtangazaji Geah Habibu ametufikishia Hekaheka ya msichana wa kazi anayedaiwa kujihusisha na vitendo vya kishirikina kufanya kazi za ndani katika mitaa ya Tabata jijini Dar es Salaam.
Msichana huyo anadaiwa kujihusisha na vitendo hivyo vya kishirikina ambapo inadaiwa kuwa boss wake wa kike alimshtukia na kuamua kumpeleka Kanisani kufanyiwa maombi ambako alikiri kujihusisha na vitendo hivyo akisema alikuwa anatumia uchawi kufanya kazi za ndani na kushirikiana na wachawi kwa leongo la kumuua mtoto wa kwanza wa boss wake ifikikapo April 10.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top