Unknown Unknown Author
Title: Nay wa Mitego kaitaja siku ya kuitoa video mpya ‘WAPO’
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Siku kadhaa zimepita tangu msanii  Nay wa Mitego  kuachiwa huru, ambapo alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za wimbo wake ...
Siku kadhaa zimepita tangu msanii Nay wa Mitego kuachiwa huru, ambapo alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kutokuwa na maadili.
Sasa staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram ametusogezea siku atakayoachia rasmi video mpya ya single hiyo na kuyaandika haya…>>>Nakukabidhi Sindano ya Kulidunga, Daktari haogopi ukubwa wa Kidonda, we si Doctor wa Majipuu Tumbua hakuna Kuvunga.. #Wapo Video kesho iko tayari. Subscribe kwenye YouTube Channel yangu sasa Mr Nay’- Nay wa Mitego

https://www.instagram.com/p/BSevTk0FUrG/


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top