Unknown Unknown Author
Title: ARSENAL WAIKOSA SAINI YA STAA WA LYON HUYU HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Lyon ya nchini Ufaransa imekataa ofa ya euro mil 35 (paundi 29.3m) kutoka kwa klabu ya Arsenal kwa ajili ya kumsajili msh...
Timu ya soka ya Lyon ya nchini Ufaransa imekataa ofa ya euro mil 35 (paundi 29.3m) kutoka kwa klabu ya Arsenal kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wao Mfaransa Alexandre Lacazette.
Lacazette (25) alifunga mabao 21 kwenye mechi za ligi 34 msimu uliopita na bado ana mkataba na timu hiyo mpaka mwaka 2019.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top