Unknown Unknown Author
Title: IOC yabadili kauli kuhusu wanariadha wa Urusi
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wiki iliyopita kamati hiyo ya kimataiafa ya Olimpiki ilikosolewa vikali wakati ilikataaa kukipiga marufuku kikosi chote cha Urusi licha u...
Wiki iliyopita kamati hiyo ya kimataiafa ya Olimpiki ilikosolewa vikali wakati ilikataaa kukipiga marufuku kikosi chote cha Urusi licha ufichuzi kuwa serikali iliwasaidia wanariadha wa nchi hiyo kutumia madawa ya kuongeza nguvu za mwili.
Lakini sasa msemaji wawa kamati hiyo Mark Adams, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari kuwa jopo hilo litatathmini kesi zinazowakumba wanariadha wote wa Urusi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top