Unknown Unknown Author
Title: Wanariadha 250 wa Urusi walikuwa wameruhusiwa kushiriki mashindano hayo ya Olimpiki ya Rio
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kufikia sasa wanariadha 250 wa Urusi walikuwa wameruhusiwa kushiriki mashindano hayo ya Olimpiki ya Rio. Shirika la kupambana na matumi...
Kufikia sasa wanariadha 250 wa Urusi walikuwa wameruhusiwa kushiriki mashindano hayo ya Olimpiki ya Rio.
Shirika la kupambana na matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu mwilini WADA lilikuwa limependekeza wanariadha wote kutoka Urusi wapigwe marufuku ya Kushiriki michezo yote ya kimataifa kufuatia ufichuzi uliobainisha kuwa serikali ya Urusi ilihusika katika njama ya kuficha matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu miongoni mwa wanamichezo wake.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top