kocha msaidizi wa yanga aifurahiya ratiba mpya ya msimu ujao
Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amefuraishwa na ratiba ya Ligi ya Vodacom ambayo imetolewa hivi karibuni na Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ na ana uhakika watatetea taji lao la Ligi Kuu.
Zuli braza god
ReplyDelete