Unknown Unknown Author
Title: MASTAA WA VPL WATAKAO CHEZA AFCON
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
ashabiki wa Ligi Kuu soka  Tanzania  bara kwa mwaka 2017 watapata nafasi ya kuona wachezaji wawili wanaotoka katika Ligi ya  Tanzania  wak...
ashabiki wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa mwaka 2017 watapata nafasi ya kuona wachezaji wawili wanaotoka katika Ligi ya Tanzania wakizitumikia timu zao za taifa katika michuano ya mataifa ya Afrika 2017, michuano ambayo itafanyika Gabon
Michuano ya AFCON itaanza kuchezwa mwakani katika nchi ya Gabon lakini mashabiki Ligi Kuu Tanzania bara watapata fursa ya kuwaona Juuko Murshid wa Simba akiichezeaUganda The Cranes baada ya wiki hii, yeye aliichezea Uganda na kuiwezesha kufuzuAFCON kwa mara ya kwanza katika historia baada ya miaka 38.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top