Unknown Unknown Author
Title: PICHA : Tukio la moto shule ya Sekondari Mkolani Mwanza
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Headlines za mashule kuungua zimeendelea na leo  September 26 2016  shule ya sekondari Mkolani  iliyopo  Nyegezi Mwanza  imeungua moto, n...
Headlines za mashule kuungua zimeendelea na leo September 26 2016 shule ya sekondariMkolani iliyopo Nyegezi Mwanza imeungua moto, na chanzo kinachosemekama kuwa ni itilafu ya umeme, taarifa imetolewa kuwa hakuna madhara makubwa yaliotokea zaidi ya vitu vya wanafunzi kuungua moto.
Nakusogezea picha  za tukio hilo unaweza kuzitazama hapa chini.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top