toniking toniking Author
Title: Kutoka Johannesburg Idris Sultan kaongea atachokifanya MTV MAMA 2016..
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
October 22,2016  ndio siku ya utoaji wa tuzo za  MTV MAMA 2016  zinazotlewa hapa Johannesburg Afrika Kusini,  sasa Idris Sultan akiwa ni mm...
October 22,2016 ndio siku ya utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zinazotlewa hapaJohannesburg Afrika Kusini, sasa Idris Sultan akiwa ni mmoja kati ya watanzania walikuja kushuhudia tuzo  hizo ameeleza kile atakachokifanya jukwaani.
Mshindi huyo wa shindano la Big Brother 2014 aliyaongea haya>>>>Natakiwa nifanye host ambayo itakuwa kama ya dakika tano au dakika kumi ni njia ya mimi kujitangaza leo maana MTV MAMA ni kitu kikubwa sana mimi naangaliwa na maelfu ya watu, pia kuna baadhi ya vitu nitakavyokuwa nafanya backstage kwahiyo kwa upande wangu nafurahi’
Itazame hii video ujionee Idris Sultan akizungumzia atachokifanya kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016
                            

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top