toniking toniking Author
Title: Rais Zuma alivyonaswa na kamera akiwa amelala wakati wa hotuba ya bajeti
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi wa  Afrika Kusini jana October 26 2016 walikuwa wakifuatilia kwa makini kile ambacho kilikuwa kinaendelea bungeni ambapo Waziri wa...
Wananchi wa  Afrika Kusini jana October 26 2016 walikuwa wakifuatilia kwa makini kile ambacho kilikuwa kinaendelea bungeni ambapo Waziri wa Fedha wa nchi hiyo, Pravin Gordhan alikuwa akisoma hotuba ya bajeti.


Sasa leo asubuhi October 27 2016 wananchi wa Afrika Kusini wameamka na habari kuwa Rais wao alilala katikati ya Hotuba ya saa moja na dakika 14 iliyokuwa ikisomwa na waziri wa fedha Pravin Gordhan, kamera zilimnasa Rais Jacob Zuma akiwa amelala, unaweza kungalia video hii hapa chini
              

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top