Unknown Unknown Author
Title: Maamuzi ya mahakama juu ya kesi ya unyanyasaji wa watoto inayomkabili Brad Pitt
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Muigizaji  Brad pitt  aliyekuwa mume wa   Angelina Jolie  alikuwa na kesi iliyokuwa ikimkabili tangu September 2016 baada ya kusemekana a...
Muigizaji Brad pitt aliyekuwa mume wa  Angelina Jolie alikuwa na kesi iliyokuwa ikimkabili tangu September 2016 baada ya kusemekana alipishana maneno  na mtoto wake wa miaka 15, Maddox mpaka kufika hatua ya kumpiga.
Baada ya tukio hilo Brad amekuwa akifanyiwa uchunguzi mpaka Nov 9 2016 ambapo mahakama jijini Carlifonia imeamua kumfutia mashtaka hayo kwa kile kilichoelezwa kuwa amegundulika kuwa hana hatia.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top