toniking toniking Author
Title: MTV Base wamethibitisha ushindi wa tuzo ya Best African Act kwa Alikiba
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Tuzo za  MTV Europe Music 2016  zilifanyika weekend iliyopita ambapo Mnigeria staa wa single ya Baba Nla Wizkid alitangazwa kuwa mshindi ...
Tuzo za MTV Europe Music 2016 zilifanyika weekend iliyopita ambapo Mnigeria staa wa single ya Baba Nla Wizkid alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya BEST AFRICAN ACT tofauti na ilivyokuwa ikionesha kwenye kura za mtandaoni kuwa Alikiba ndiye mshindi.
Mjadalia mkali ulianza mitandaoni kuhusu mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA kwenye category ya BEST AFRICAN ACT, ambapo uliwafikia waandaji wa tuzo hizo. 
mtvema-kiba

Leo November 10 2016 MTV Base East kupitia akaunti yao ya twitter wametangaza rasmi  kuwa tuzo hiyo aliyestahili kuipata ni mtanzania Alikiba na wamempongeza kwa tuzo hiyo .
Congratulations to @OfficialAliKiba for his well-deserved win as Best African Act at the 2016 
VIDEO: Ipo hapa Exclusive kuhusu MTV EMA kuichukua tuzo ya BEST AFRICAN ACT kwa Wizkid na kumpa Alikiba 

Tuzo za MTV Europe Music 2016 zilifanyika weekend iliyopita ambapo Mnigeria staa wa single ya Baba Nla Wizkid alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya BEST AFRICAN ACT tofauti na ilivyokuwa ikionesha kwenye kura za mtandaoni kuwa Alikiba ndiye mshindi.
Mjadalia mkali ulianza mitandaoni kuhusu mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA kwenye category ya BEST AFRICAN ACT, ambapo uliwafikia waandaji wa tuzo hizo. 
mtvema-kiba
Leo November 10 2016 MTV Base East kupitia akaunti yao ya twitter wametangaza rasmi  kuwa tuzo hiyo aliyestahili kuipata ni mtanzania Alikiba na wamempongeza kwa tuzo hiyo .
VIDEO: Ipo hapa Exclusive kuhusu MTV EMA kuichukua tuzo ya BEST AFRICAN ACT kwa Wizkid na kumpa Alikiba 

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top