toniking toniking Author
Title: Post 10 za utani za Mastaa wa Bongo kuhusu ushindi wa Donald Trump
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
November 9, 2016 Marekani inazichukua headlines kubwa baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi na kutajwa kuwa Rais wa 45 wa taifa hilo....

November 9, 2016 Marekani inazichukua headlines kubwa baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi na kutajwa kuwa Rais wa 45 wa taifa hilo. Mastaa wa bongo hawajachelewa kupost maneno ya utani kuhusu matokeo yalivyoenda tofauti na matarajio ya wengi.
Nimekukusanyia hapa post 10 za watu maarufu walivyoandika leo kwenye “social networks” zao juu ya uchaguzi wa Marekani na ushindi wa Donald Trump.

Wanawake wa bongo acheni Unafiki... mlikataa kumpigia kura mama Anna Mgwira wa ACT mnataka wenzenu wachague hillary.. msituchose
Kwa jinsi tayari alikuwa amejitafutia kamario flani kumlipiza BILL ile issu ya lewinsky....HILLARY kamaindi sana kutoingia IKULU!
Watu wanamaneno/et America inayoweza kuongozwa na mwanamke apa duniani ni American chips tu ya kinondoni😄

Wabongo kwa Kuvalia VIBWEBWE shughuli za watu.. leo kuna watu eti wamenuna kabisa! Nakumbuka Obama walivyotangaza eti watu walishangilia ðŸ˜‚😂

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top