Unknown Unknown Author
Title: Jina la mtanzani Mbwana Samatta kwenye headlines ya mtandao mkubwa England
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya ushindi wa goli 2-5 wa  KRC Genk  dhidi ya wenyeji wao  KAA Gent  katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora wa michuano ya  UE...
Baada ya ushindi wa goli 2-5 wa KRC Genk dhidi ya wenyeji wao KAA Gent katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora wa michuano ya UEFA Europa League, jina la mtanzaniaMbwana Samatta limezidi kuingia kwenye headlines.
Mbwana Samatta katika ushindi wa 5-2 wa timu yake alifanikiwa kufunga magoli mawili dakika ya 41 na 72, Samatta alifunga goli la kwanza baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa Jean Boetius na goli lake la pili ambalo la tano kwa timu yake alifunga kwa kutumia vizuri pasi ya nahodha wake Thomas Buffel.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top