Unknown Unknown Author
Title: VIDEO: Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Festival…
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
https://youtu.be/1cDSTmeDznM Mwimbaji staa wa Tanzania Alikiba alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha  la Mombasa Rocks M...

Mwimbaji staa wa Tanzania Alikiba alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha la Mombasa Rocks Music Festival ambalo pia mgeni wake mkuu alikua Chris Brown na wengine wakiwa ni Vanessa Mdee, Wizkid na wengineo.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Festival


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top