
Inasemekana kuwa Nuh Mziwanda ameshatoa mahari nyumbani kwa wakwe zake maeneo ya Msasani Sheli jijini Dar es salaam siku chache zilizopita.
>>>”Nuh Alikuja usiku akiwa kwenye gari IST nyeupe na alikuwa na washkaji zake, alikuja kukutana na mzee mwenyewe, alikuja akakutana na naye akapangiwa mahari shilingi milioni lakini hawakuingia ndani waliongelea kwenye gari, mzee sio mtu wa mchezo mchezo. Mimi eneo ambalo sio mbali sana.” -Shuhuda
>>>”mimi nilikuwa na mazungumzo tofauti na baba mkwe wangu nashindwa kuelewa wewe umejuaje kama mimi nimekwenda kuonana na baba Mkwe wangu, sikutaka mambo yawe hivi lakini nimeshindwa kuelewa umejuaje wewe” –Nuh Mziwanda
Kusikiliza full stori bonyeza play hapa chini.
Post a Comment