Unknown Unknown Author
Title: Marekani yachunguza kubaini walioshambulia New York
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shirika la ujasusi la FBI linachunguza kifaa cha pili ambacho hakikulipuka kilichopatikana neo lililo karibu pamoja na bomu lingine lilil...
Shirika la ujasusi la FBI linachunguza kifaa cha pili ambacho hakikulipuka kilichopatikana neo lililo karibu pamoja na bomu lingine lililopuka katika jimbo la New Jersy saa chache kabla.
Usalama umedumishwa kote mjini New York huku maelfu ya maafisa zaidi wa usalama wakitumwa.
Kwingineko, shirika la ujasusi la marekani FBI linachunguza madai ya kundi la Islamic State kuwa mmoja wa wafuasi wake waliendesha shambulizi la kisu katika jimbo la minnesota nchini marekani siku ya Jumamosi.
Mwanamme aliyekuwa amevaa sare za maafisa wa usalama aliwachoma kisu watu 9 kabla ya kuuwa kwa kupigwa risasi na polisi ambaye alikuwa likizo.
Vyombo vya habari vinasema kuwa mtu huyo ni wa asili ya Somalia. Hakuna mtu aliyepata majeraha mabaya kati ya wale waliojeruhiwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top