toniking toniking Author
Title: Kauli ya Prof Lipumba kuhusu nafasi yake CUF
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Licha ya headlines za migogoro ya chama cha siasa  CUF  kuendelea kutawala kufuatia chama hicho kutangaza kuwavua uanachama baadhi ya wanac...
Licha ya headlines za migogoro ya chama cha siasa CUF kuendelea kutawala kufuatia chama hicho kutangaza kuwavua uanachama baadhi ya wanachama wake akiwemoProfesa Ibrahim  Lipumba leo September 30 2016 Lipumba amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kusisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekitihalali wa CUF na haoni wasiwasi wa  kuendelea kukaa kwenye ofisi za chama hicho.

                               

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top