toniking toniking Author
Title: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyohamia na familia yake Dodoma
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Headline kutokea  Dodoma   ni pamoja na hii ya Waziri mkuu wa Tanzania   Kassim Majaliwa   kuhamia rasmi yalipo makao makuu ya nchi yaani  ...
Headline kutokea Dodoma ni pamoja na hii ya Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa kuhamia rasmi yalipo makao makuu ya nchi yaani Dodoma, hii inakuja siku kadhaa mara baada ya kusoma ratiba ya baadhi ya wizara zitakavyoanza kuhamia mkoani hapo kufuatia agizo la Rais Magufuli kutaka serikali yake yote ihamie Dodoma.


Kwenye hii video hapa chini nimekusogezea dakika kadhaa zikimuonyesha Waziri mkuu Majaliwa alivyopokelewa katika uwanja wa ndege mkoani hapo..

                          

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top