toniking toniking Author
Title: Msimamo wa waziri Nape kuhusu tiketi za electronics mchezo wa Yanga vs Simba
Author: toniking
Rating 5 of 5 Des:
Jumamosi ya October 1 2016 soka la  Tanzania  litaingia katika historia mpya kutokana na mchezo wa watani wa jadi kati ya  Yanga  na  Simba...
Jumamosi ya October 1 2016 soka la Tanzania litaingia katika historia mpya kutokana na mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Jumamosi hii uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mashabiki wataanza kuingia katika uwanja huo kwa tiketi za electronic.
Mashabiki watalazimika kuingia uwanjani kwa Smart Card maalum ambazo zimeanza kutolewa bure toka jana lakini unatakiwa kuziwekea hela ndio uanze kununua tiketi yako ya mechi, waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Nape Moses Nnauye ametoa kauli kuhusu mfumo huo na utatuaji wa changamoto.
“Kuelekea mechi ya kesho ya Simba na Yanga mfumo huu wa tiketi za kielectronics ni mpya kwa watanzania, kumekuwa na malalamiko kuwa mambo hayaendi sawa mtaani kwa watu wanalalamika kuwa watu hawapati kadi, kama vile kuna hisia kuwa mambo hayaendi sawa, kiukweli kwa gharama yoyote ile siwezi kukubali mfumo huu kuanguka”

                            

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top