Moja kati ya habari zinazo-trend katika soka leo October 9 2016 ni kuhusiana na list ya wachezaji bora wa muda wote wa LaLiga, kituo cha uchunguzi, histoaria na takwimu za soka Hispania (CIHEFE) kimetaja majina ya wachezaji bora wa muda wote katika historia ya LaLiga.
Licha ya kuwa utafiti huo wa CIHEFE uliotaja list hiyo kuanza kuleta minong’ono katika mitandao, wengi wameshangazwa kuona mshindi wa tuzo tatu za Ballon d’Or Cristiano Ronaldo kuwekwa namba 23 na mpinzani wake wa karibu katika soka Lionel Messi waFC Barcelona kupewa nafasi ya nne.
Namba moja ya list hiyo amepewa Raul Gonzalez mkongwe wa zamani wa Real Madrid, mkongwe Cesar Rodriguez yupo namba 2, Telmo Zarra namba tatu, Lionel Messinafasi ya nne na Enrique Castro ‘Quini’ nafasi ya tano, wachezaji kama David Villayupo nafasi ya 32, Xavi nafasi ya 49 wakati Iker Casillas ameshika nafasi ya 62.
Post a Comment