Itazame hii video hapa ujionee jinsi Wizkid alivyotumbuiza Mombasa Rocks Festival
VIDEO: Wizkid alivyotumbuiza kwenye Mombasa Rocks Festival
Mwimbaji staa wa Nigeria Wizkid alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha laMombasa Rocks Music Festival ambalo pia mgeni wake mkuu alikua Chris Brown na wengine wakiwa ni Vanessa Mdee, Alikiba na wengineo.
Post a Comment